Header Ads

Ni Singida United tena wamnasa huyu ....


Klabu ya Singida United imeendelea kufanya yake katika usajili msimu huu na leo hii imemtambulisha rasmi nyota mpya "Roland Msonjo" kutoka katika klabu ya Mshikamano Fc ambae ametua Singida United kwa kandarasi ya miaka miwili. 

No comments:

Powered by Blogger.