Mtibwa Sugar yapata Saini ya Nyota wawili, msimu ujao mambo bam bam.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Friday, 30 June 2017

Mtibwa Sugar yapata Saini ya Nyota wawili, msimu ujao mambo bam bam..

Usipitwe na breaking news mbalimbaliza michezo pamoja na tetesi zote za usajili,like page yetu ya facebook 👉👉 HAPA


Klabu ya Soka ya Mtibwa Sugar imetangaza kuwasajili wachezaji wawili Mlinzi Hussein Idd akitokea JKT Oljoro na Mshambualiaji Salumu Ramadhan Kihimba aliyekuwa akiichezea Timu ya Polisi Morogoro.

Msemaji wa Klabu hiyo Thobias Kifaru Ligalambwike amesema wachezaji hao ambao ni damu Changa walionesha uwezo mkubwa na timu zao msimu uliopita hivyo wanaimani kabisa ya kuwa watawasaidia kufanya maajabu msimu ujao.

-Tumesajili Damu Changa kutoka JKT Oljoro na Polisi Morogoro na mbali na Hao tunategemea kuwapandisha wachezaji kama watano au Sita hivi kutoka Timu B" Kifaru Alisema.

Wawili Hao Wanatarajia kujiunga na Timu hiyo kwa ajili ya mchakamchaka wa msimu ujao wa ligi kuu soka Tanzania pamoja na mashi


 Download app hii moja kwa moja kwenye kifaa chochote cha Android ili kupata habari kutoka vyankende.com 👉👉HAPA

No comments:

Post Bottom Ad

Pages