MSUVA KUTIMKIA TIMU HII NA KUJIVUNIA ZAIDI YA BILIONI 1.59 - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Monday, 5 June 2017

MSUVA KUTIMKIA TIMU HII NA KUJIVUNIA ZAIDI YA BILIONI 1.59Mshambuliaji wa klabu ya Yanga Simon Msuva huenda akajivunia kitita cha pesa endapo kutapatikana muafaka baina yake na klabu yake ya sasa ili yeye apate kuelekea huko nchini Misiri kukipiga katika klabu ya Zamalek .


Imeelezwa kua Msuva huenda akajipatia sh.bilion 1.6 kama klabu  yake ya Yanga itamruhusu kuelekea huko,hata hivyo taarifa hizo zinaeleza kua nyota huyo endapo atasaina kandarasi na klabu hiyo atajipatia malipo ya Dora 15,000/- kwa mwezi ambayo ni sawa na shillingi  millioni 33.2.


Hata hivyo Msuva anahusishwa pia kuhitajika na mahasimu wa klabu ya Yanga "Simba" na klabu nyingie kutoka huko bondeni South Afrika.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages