Mshambuliaji Stendi United atimkia Zimbabwe - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Wednesday, 28 June 2017

Mshambuliaji Stendi United atimkia Zimbabwe

Usipitwe na breaking news mbalimbaliza michezo pamoja na tetesi zote za usajili,like page yetu ya facebook 👉👉 HAPA.


Aliyekuwa mshambuliaji wa Stendi United Chediebere leo ameingia kandarasi ya miaka miwili na mabingwa wa ligi kuu nchini Zimbabwe Caps United.

Chediebere ameingia kandarasi ya miaka miwili akifuzu majaribio ya wiki mbili .

Raia huyo wa Nigeria anasema daima hatasahau changamoto za soka la Tanzania na anakiri ni moja ya taifa la watu wakarimu licha ya uchanga wa soka lake.


 Download app hii moja kwa moja kwenye kifaa chochote cha Android ili kupata habari kutoka vyankende.com 👉👉HAPA

No comments:

Post Bottom Ad

Pages