MORATA MAMBO YAIVA UNITED - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Monday, 12 June 2017

MORATA MAMBO YAIVA UNITEDWakala wa Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid  Alvaro Morata amethitisha kua tayari mteja wake amekwisha kamilosha mazungumzo ya yeye kujiunga na Manchester United msimu ujao.

Morata ambae alijiunga ma klabu ya Madrid mwaka jana akitokea katika klabu ya Juventus na amefanikiwa kutwaa taji la ligi kuu nchini Spain na lile la mabingwa barani Ulaya.

Morata anatarajiwa kutua United mda wowote..

No comments:

Post Bottom Ad

Pages