MKUDE AWAMALIZA YANGA - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Saturday, 17 June 2017

MKUDE AWAMALIZA YANGA


Kiungo mkabaji na nahodha wa Simba, Jonas Mkude ameongeza mkataba na klabu yake.

Mkude amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia Simba.

Kwa mujibu wa chanzo cha habari imeelezwa kua “Ameongeza mkataba wa miaka miwili, ilikuwa ni baada ya kukamilisha majadiliano ambayo yalikuwa yamefikia zaidi ya asilimia 99,” kilieleza chazo

Taarifa hii huenda ikaikata maini klabu ya Yanga ambayo ilikua ikiripotiwa kukamilisha taratibu za kumanasa kwa dau nono.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages