MEXIME HAENDI POPOTE.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Monday, 5 June 2017

MEXIME HAENDI POPOTE..


Baada ya klabu bingwa Tanzania, Yanga kutajwa kufanya mazungumzo na kocha wa kalbu ha Kagera Sugar Mecky Mexime ili kujiunga na mabingwa hao tayari klabu ya kagera Sugar imeandaa mazungumzo na kocha huyo ili kumuingezea mkataba ili kuendelea kikosi hicho. A


kizungumza na gazeti la nipashe kocha huyo amesema anatarajiwa kukutana na uongozi wa klabu hiyo ili kuzungumzia juu ya hatima yake katika klabu hiyo.


Hata hivyo Mexime anaamini kua kutapatikana makubariano baina yakr na timu hiyo kwani hadi sasa bado ana mkataba wa kundelea kuinoa klabu hiyo."Mimi bado nina mkataba na Kagera Sugar ni lazima uamuzi wowote nitakaoufanya utazingatia mkataba nilionao.Siwezi kukurupuka kwa sababu mimi sio mgeni katika soka la Tanzania.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages