MESSI ATAJWA REAL MADRID KUZIBA PENGO LA RONALD - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Tuesday, 20 June 2017

MESSI ATAJWA REAL MADRID KUZIBA PENGO LA RONALD


Baada ya kuepo kwa tetesi za nyota wa klabu ya Real Madrid "Christiano Ronaldo" kuondoka klabuni hapo,Rais wa klabu hiyo Frolentino Perez amesema klabu hiyo ingependeza kama ingelimnasa nyota hatari wa klabu ya Barcelona " Lionel Messi".

Kwa mujibu wa chanzo imeripotiwa kuwa Perez amesema hayo baada ya shinikizo la Ronaldo kuondoka kushika mashiko,Perez "Of course we would have loved to have had Messi at Madrid," Perez amekiambia chanzo ambacho ni Onda Cero.

Messi ambae kwa sasa yupo na klabu yake ya Barcelona, amejiunga na klabu hiyo katika msimu wa  mwaka 2004 hadi sasa.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages