MBARAKA LAZIMA ATUE MSIMBAZI - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Friday, 2 June 2017

MBARAKA LAZIMA ATUE MSIMBAZI

Klabu ya Simba imeonyesha wazi nia yake ya kumsajili mshambuliaji wa Kagera Sugar Mbaraka Yusuph anaetajwa kujiunga na vilabu mbalimbali hapa nchini vikiwemo vya Simba na Yanga.

Klabu hiyo kupitia kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili  imeweka wazi nia ya klabu hiyo kuhakikisha wanainasa saini ya nyota huyo alie zisumbua klabu mbalimbali katika msimu uliomalizika kitu kilichopekekea kutunukiwa tuzo ya mchezaji bora chipukizi.

Akizungumza na Global TV  Online Hans poppe amesema Mbaraka lazima arejee msimbazi huku akionyesha msisitizo juu ya suala hilo...

No comments:

Post Bottom Ad

Pages