MAVUGO AITEMA SIMBA AELEKEA HUKU.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Wednesday, 21 June 2017

MAVUGO AITEMA SIMBA AELEKEA HUKU..


Staika wa timu ya taifa ya Burundian Laudit Mavugo amerejea klabu yake ya zamani ya  AS Kigali iliyopo nchini Rwanda, Mavugo aliekua akikipiga katika klabu ya Simba inayoshiriki ligi kuu Tanzania.

Mavugo, miaka 23 aliitumikia klabu hiyo ya Simba kwa miaka miwili,mavugo aliondoka Dar es Salaam kwa mapumziko ya ya likizo.

Down load app hii moja kwa moja kwenye kifaa chochote cha Android ili kupata habari kutoka vyankende.com 👉👉http://www.androidcreator.com/apk/app204631.apk

No comments:

Post Bottom Ad

Pages