MATOKEO YA MICHEZO MBALIMBALI YA KIMATAIFA YA KIRAFIKI.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Thursday, 8 June 2017

MATOKEO YA MICHEZO MBALIMBALI YA KIMATAIFA YA KIRAFIKI..


Timu ya taifa ya Italia wakicheza katika dimba la Allianz Riviera walibuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Uruguay, Japan wakatoshana nguvu na Syria kwa sare ya bao 1-1.
Hispania wakashindwa kutamba mbele ya Colombia kwa kuambulia sare ya mabao 2-2 mchezo ukicheza dimba la La Condomina
China wakashinda kwa kishindo kwa kuwachapa Ufilipino kwa mabao 8 - 1, Finland na Liechtenstein wakatatoshana nguvu kwa sare ya 1-1, Iran nao wakaambulia sare ya bila kufungana na Korea kusini.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages