Header Ads

MASHARTI MAPYA YA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER LEAGUE YAMZUIA NGASA KUSHITIKI..


Nyota wa klabu ya Mebya city Mrisho Ngassa huenda akaikosa michuano ya Sportpesa Super Cup baada ya kuripotiwa kuitumika klabu ya Yanga katika michuano hiyo.

Kulingana na mshariti ya michuano hiyo yasemayo:-Timu yoyote inayoshiriki michuano ya Sports Pesa ipo huru kuongeza mchezaji yeyote ila asiwe wa ligi kuu ama sivyo awe tayari amekamilisha usajili wa klabu husika, kwa mantiki hiyo Ngassa hatoweza kukichezea kikosi cha Yanga katika michuano hiyo inayotaraji kuanza leo kwa Yanga kuwavaa Tusker FC ya kenya, saa 10 :15 jioni!

No comments:

Powered by Blogger.