TAMKO LA TFF JUU YA TAARIFA YA BMT.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Wednesday, 14 June 2017

TAMKO LA TFF JUU YA TAARIFA YA BMT..Makamu wa Rais wa TFF Celestine Mwesigwa asema Katiba yao haiwalazimishi kuitaarifu BMT kuhusu mchakato wa uchaguzi wao

Mwesigwa ameyasema hayo saa chache baada ya taarifa kutoka BMT kuhusiana na kusimamishwa kwa uchaguzi  ndani ya shirikisho hilo iliyotolewa na katibu mtendaji.


Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Kiganja alisema, wameusimamisha kwa kuwa TFF imekiuka kanuni zinazoipa BMT mamlaka pekee ya kusimamia chaguzi za vyama vya michezo nchini. TFF ni mwanachama wa BMT.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages