Header Ads

KRC GENK YAFUMULIWA SASA KUIKOSA EUROPA LEAGUE MSIMU UJAO..Usiku wa May 31 2017 Klabu ya KRC Genk imepoteza kwa goli 3-1 dhidi ya Oostende katika mechi ya kutafuta nafasi ya kucheza Europa League msimu ujao.


Hivyo Genk msimu ujao haitashiriki michuano ya Europa League.

No comments:

Powered by Blogger.