KOCHA STARS KUONGEA NA WANAHABARI LEO.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Thursday, 22 June 2017

KOCHA STARS KUONGEA NA WANAHABARI LEO..TAARIFA KWA WANAHABARI,
Salaam. Leo Alhamis Juni 22, 2017, Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Salum Shabani Mayanga atazungumza na waandishi wa Habari.

Muda: Saa 5:00 asubuhi  (11H00)

Mahali: Hoteli ya Urban Rose,

Muhimu kuzingatia muda  kwa sababu, timu inasafiri kwenda Afrika Kusini.

Alfred Lucas
Ofisa Habari na Mawasiliano TFF
0769 088 111


Download app hii moja kwa moja kwenye kifaa chochote cha Android ili kupata habari kutoka vyankende.com 👉👉http://www.androidcreator.com/apk/app204631.apk

No comments:

Post Bottom Ad

Pages