KIUNGO KAGERA SUGAR AONGEZA MKATABA. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Saturday, 17 June 2017

KIUNGO KAGERA SUGAR AONGEZA MKATABA.


George Kavila kiungo na nahodha wa Kagera Sugar ameongeza mkataba na kuendelea kuitumika klabu yake na kujivunjia rekodi yake mwenyewe ligi kuu Tanzania bara.

Kavila ameongeza mkataba wa mwaka mmoja na timu yake hiyo kwa msimu wa 2017-18 hali itakayomfanya kuendelea kubaki kama mchezaji aliyewahi kucheza miaka mingi zaidi ndani ya klabu hiyo .

No comments:

Post Bottom Ad

Pages