Header Ads

KIPA MBAO RASIMI MSIMBAZI

Klabu ya Simba imemsajili kipa wa Mbao FC, Emanuel Mseja kwa mkataba wa miaka miwili.
Kipa huyo alisajiliwa jana kwenye ofisi za klabu hiyo, ikiwa ni mwendelezo wa kuimarisha kikosi chenye makali msimu wa mwaka 2017/18.
Taarifa za mchezaji huyo kusajiliwa Simba zilianza kusambaa baada ya msimu kumalizika. Kusajiliwa kwake jana, kunampa Mseja nafasi ya kuanza maisha mapya ya soka akiwa na Wekundu hao wa Msimbazi.

No comments:

Powered by Blogger.