KIMATAIFA: LIGI KUU ENGLAND IMENUKIA SOMA HAPA KUJUA MUSTAKABARI WA RATIBA YA MSIMU WA 2017/2018 - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Tuesday, 13 June 2017

KIMATAIFA: LIGI KUU ENGLAND IMENUKIA SOMA HAPA KUJUA MUSTAKABARI WA RATIBA YA MSIMU WA 2017/2018


Chama cha Soka England (FA) kimetoa taarifa kupitia mtandao wake kuwa ratiba ya Ligi Kuu England msimu wa 2017/18 itatangazwa kesho Jumatano.
Ratiba hiyo imetolewa sanjari kukiwa na pilikapilika za usajili kwa klabu kuimarisha kikosi chake kabla ya msimu kuanza.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages