Header Ads

KIMATAIFA: KIPA WA BOURNMOUTH AMKARIBISHA TERY KWA ANGALIZO..


Asmir Begovic amemkaribisha John Tery huku akimpa angalizo kutokana na kubadili maisha akitokea Chelsea.
Kipa huyo raia wa Bosnia-Herzegovina, Begovic aliiwahi kuitumikia Chelsea kwa miaka miwili na kutimkia klabu ya Thibaut Courtois ya Ligi Kuu.
Terry aliaga msimu ulioisha akisema anakwenda kutafuta maisha ya soka sehemu nyingine.
Mchezaji huyo alikuwa anahusihwa kuhamia Aston Villa, lakini Begovic anayecheza kwa mkopo klabu ya Bournemouth anamkaribisha mchezaji huyo mkongwe.

No comments:

Powered by Blogger.