KIMATAIFA: AS Kigari yamnasa mshambuliaji kutoka burundi. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Saturday, 24 June 2017

KIMATAIFA: AS Kigari yamnasa mshambuliaji kutoka burundi.


Klabu ya AS Kigari imeinasa saini ya msahambuliaji hatari kutoka nchini Burundi, "Ndarusanze Jean Claude."

Ndarusanze aliekua akikipiga kwenye klabu ya LLB Academic ya huko nchini Burundi, ameiwezesha timu hiyo kunyakua kombe la ligi msimu uliomalizika kwa kuifungia magoli 24 huku ikiutwaa ubingwa huo ikiwa na point 68 kibindoni.


Murundi huyo  amesaini kandarasi ya miaka miwili katika klabu hiyo kama alivyoainisha msemaji wa klabu hiyo Nshimiye Joseph.


Akiongea na vyombo vya habari amesema: Ni kweli tayari Ndarusanze ni mchezaji wetu halali na pia bado tunahiaji wengine na endapo tutaafikiana ntajulishwa" alisema Nshimiye


Down load app hii moja kwa moja kwenye kifaa chochote cha Android ili kupata habari kutoka vyankende.com 👉👉http://www.androidcreator.com/apk/app204631.apk

No comments:

Post Bottom Ad

Pages