Kimataifa: Akpom kuonyeshwa mlango wa kutokea Arsenal na nyota wengine saba akiwemo Giroud msimu huu.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Saturday, 24 June 2017

Kimataifa: Akpom kuonyeshwa mlango wa kutokea Arsenal na nyota wengine saba akiwemo Giroud msimu huu..


Klabu ya Arsenal imepanga kuwaachia baadhi ya wachezaji wake akiwemo "Chuba Akpom"  ambae ni raia wa Nigeria aliezaliwa nchini Uingereza ikiwa moja ya njia ya kupunguza galama.

Kwa mujibu wa jarida la independent.co.uk imeripotiwa kua Akpom hatoonda pekeyake bali ataambatana na wengine kama, "Alex Oxlade Chamberlain, Olivier Giroud,Lucas Perez, Calum Chambers, Wojciech Szczesny,Kieran Gibbs na Carl Jenkison."

Arsenal ambayo imeshuhudiwa ikishindwa kujinyakulia nafasi ya michuano ya UEFA Champions league kwa mara ya kwanza tangu kocha wake wa sasa Arsene Wenga aanze kuinoa klabu hiyo.


Hata hivyo jarida hilo limeeleza kua mkataba wa Akpom na klabu hiyo utamalizika 2019.


Down load app hii moja kwa moja kwenye kifaa chochote cha Android ili kupata habari kutoka vyankende.com 👉👉http://www.androidcreator.com/apk/app204631.apk

No comments:

Post Bottom Ad

Pages