KAULI YA SINGIDA UNITED BAADA YA KUONDOSHWA KWENYE MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Monday, 5 June 2017

KAULI YA SINGIDA UNITED BAADA YA KUONDOSHWA KWENYE MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP..


Klabu ya Singida United baada kuondoshwa kwenye michuano ya Sportpesa Super cup imetoa kauli juu ya michuano hiyo,ambapo kupitia ukurasa wake wa twitter klabu hiyo imeandika kuwa "Bahati haikuwa upande wetu, Mechi ya kwanza kubwa, vijana wanaendelea kujifua kuimarisha kikosi zaidi na zaidi tayari kwa VPL 2017/2018".


 Klabu hiyo imetupwa nje ya michuano hiyo kwa kudunguliwa kwa mikwaju ya penati kwa goli 5-4 baada ya dakika 90 za awali kumalizika kwa sare ya goli 1-1


No comments:

Post Bottom Ad

Pages