KAMATI YA UCHAGUZI TFF YAWEKA WAZI MCHAKATO WA UCHAFUZI.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Monday, 12 June 2017

KAMATI YA UCHAGUZI TFF YAWEKA WAZI MCHAKATO WA UCHAFUZI..Kamati ya uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)  imetangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa uchaguzi wa shirikisho hilo .
Mwenyekiti wa kamati hiyo Revocatus Kuuli alisema kuwa mchakato huo umeanza rasmi leo kwa hatua ya kutangaza zoezi zima.
Kuuli alisema kuwa baada ya zoezi la kutangaza mchakato huo, hatua inayofuata ni uchukuaji wa fomu kwa wagombea wa nafasi mbalimbali.
Kwa mujibu wa Kuuli uchaguzi mkuu wa TFF mwaka huu utafanyikia mkoani Dodoma, Agosti 12.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages