HII HAPA RATIBA YA MICHEZO YA UFUNGUZI WA LIGI YA SPORTPESA SUPER CUP.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Sunday, 4 June 2017

HII HAPA RATIBA YA MICHEZO YA UFUNGUZI WA LIGI YA SPORTPESA SUPER CUP..Ile michuano iliyokua ikingojewa na wapenzi wa soka waliowengi Afika ya mashariki ambayo huenda ikarejesha urafiki na ushirikiano  hasa katika michezo mbalimbali,imewasili ambapo siku ya jumatatu ya june 5 yaani kesho tutashuhudia mitanange ya ufunguzi wa ligi ya Sportpesa super cup itakayo anza kutimua vumbi hapo kesho.


Katika michuano hiyo tutawashuhudia wageni wa ligi kuu Tanzania bara wakijimwanga uwanjani kuanza kuonyesha makeke yake kwa kuwavaa vijana kutoka Kenya FC Leopards katika mchezo utakaoanza mishale ya saa 02:00 (14:00) huku mchezo mwingine ukitazamiwa kupigwa mishale ya saa 04:15 (16:15)..

Na michuano hiyo itakua mubashara kupitia runinga mbalimbali na kwa hapa nchini itarushwa  mubashara na vituo vya ITV,EATV RADIO ONE NA EAST AFRICA RADIO ..

  USIKOSE UHONDO HUO NA ENDELEA KUA NASI KWA KUPATA KILA UPDATES KATIKA MICHUANO HIYO.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages