Header Ads

GRIEZMANN AITOSA MANCHESTER UNITED ASAINI MIAKA MITANO NA KLABU HII.


Nyota hatari wa klabu ya Atletico Madrid "Antoine Griezmann" ameripotiwa kuongeza mkataba na klabu yake ili kuendelea kuitumia klabu hiyo kwa miaka mitano.


Griezmann ameripotiwa kuongeza kandarasi hiyo itakayomfanya asalie klabuni humo hadi mwa 2022 hii ni kwamujibu wa mwandishi mmoja wa habari za michezo nchini Hispania.

No comments:

Powered by Blogger.