GOOD NEWS KWA MASHABIKI WA SIMBA, NAHODHA AONGEZA MKATABA.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Wednesday, 21 June 2017

GOOD NEWS KWA MASHABIKI WA SIMBA, NAHODHA AONGEZA MKATABA..


Nahodha wa klabu ya Simba Jonas Mkude amekubari kuongeza mkataba wa kuitumika klabu hiyo kwa miaka mingine miwili.

Mkude ambae amekua am husishwa na kutimkia bondeni na nchi nyingine mbalimbali, huku pia baadhi ya vilabu vikionyesha nia ya kusajili amefikia makubariano na kuamua kungeza kandarasi hiyo.

Klabu hiyo imethibitisha kuongezeka kwa mkataba wa nahodha huyo.

Down load app hii moja kwa moja kwenye kifaa chochote cha Android ili kupata habari kutoka vyankende.com 👉👉http://www.androidcreator.com/apk/app204631.apk

No comments:

Post Bottom Ad

Pages