FRANK LAMPARD KUANZA RASIMI KIBARUA CHA UKOCHA .. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Wednesday, 28 June 2017

FRANK LAMPARD KUANZA RASIMI KIBARUA CHA UKOCHA ..


Nyota wa zamani wa timu ya taufa ya England na klabu ya Chelsea Frank James Lampard ametajwa kuanza kibarua chake cha ukocha katika klabu ya Oxford United ya nchini England.


Lampard ataichukua nafasi hiyo ili kuziba nafasi iliyoachwa wazi na aliekua kocha wa klabu hiyo Michael Appleton ambae amechukuliwa kwenda kua kocha msaidizi wa Leicester city.


Down load app hii moja kwa moja kwenye kifaa chochote cha Android ili kupata habari kutoka vyankende.com 👉👉HAPA

No comments:

Post Bottom Ad

Pages