FAINALI YA FA ENGLAND KUJIRUDIA KABLA YA MSIMU WA 2017-2018 KUANZA.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Friday, 16 June 2017

FAINALI YA FA ENGLAND KUJIRUDIA KABLA YA MSIMU WA 2017-2018 KUANZA..


Klabu za Arsena na Chelsea zinatarajiwa kucheza mchezo wa ufunguzi  wa ligi kuu England maarufu kama Ngao ya jamii utakaochezwa katika uwanja wa Wembley mnamo august 6 mwaka huu.

Kwa wachambuzi wa maswala ya soka wanauchukulia mchezo huo kama fainali ya kombe la FA la msimu wa 2016-2017 ambao Arsenal iliinyuka chelsea kwa goli 2-1 na kuutwaa ubingwa huo.


No comments:

Post Bottom Ad

Pages