Header Ads

EVERTON KUWEKA DAU KWA JORDAN PICKFORD..


Klabu Everton imekubari kutoa ofa ya £30m ili kuinasa saini ya mlinda mlango wa Sunderland  "Jordan Pickford".

Makubariano yaliyofanyika saa 24 zilizopita juu ya uhamisho wa mlinda mlango huyo yameonyesha matumaini ya klabu hiyo kumnasa.

Source: sky sport.

No comments:

Powered by Blogger.