Donald Ngoma rasimi aongeza mkataba jangwani... - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Wednesday, 28 June 2017

Donald Ngoma rasimi aongeza mkataba jangwani...

Usipitwe na breaking news mbalimbaliza michezo pamoja na tetesi zote za usajili,like page yetu ya facebook ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰ HAPA


Mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe anayeichezea klabu ya Yanga, Donald Ngoma, ambae mkataba wake ulikua ukielekea ukingoni ameongeza mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu ya  hiyi.


Ngoma ambae hapo jana ameripotiwa kujiunga na klabu moja ya huko bondeni Afrika ya Kusini amesaini mkata huo saa chacje baada ya kuwasili nchini akitokea katika mapumziko nchini kwao baada ya kumalizika kwa msimu wa mwaka 2016/2017

Kwa mujibu wa klabu ya Yanga kupitia mitandao mbalimbali imeweka bayana kua Ngoma kwa sasa ni mchezaji wake halali.

 Download app hii moja kwa moja kwenye kifaa chochote cha Android ili kupata habari kutoka vyankende.com ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰HAPA

No comments:

Post Bottom Ad

Pages