DIDA: YANGA WALIKWAMISHA DILI ZANGU. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Sunday, 18 June 2017

DIDA: YANGA WALIKWAMISHA DILI ZANGU.


Mlinda namba mbili wa klabu ya Yanga Deogratias Munishi Dida amesema hataongeza mkataba mpaka pale atakapouona msatkabali wa soka.

Akiongea na kituo cha radio cha Clouds, kwenye kipindi cha michezo cha Sport extra,  Dida alikaririwa akisema kwamba amefanikiwa kupata  timu nje ya nchi na hivi karibuni ataenda huko kwa ajili ya majaribio ya wiki mbili, na endapo akifeli ndipo atarejea Yanga kusaini mkataba mpya ila kwa sasa malengo yake ni kucheza soka nje


"Mkataba wangu unaisha Julai 30 kwa hiyo bado sijasaini Yanga, ni weke wazi tu kwa sasa sipo tayari kusaini hadi pale nitakopotoka kufanya majaribio, endapo nikishindwa nitarejea Yanga kusaini mkataba mpya"

Katika hatua nyingine, Dida ameeleza jinsi Yanga walivyo kwamisha dili lake la kwenda Afrika kusini katika klabu ya Bidvest


Down load app hii moja kwa moja kwenye kifaa chochote cha Android ili kupata habari kutoka vyankende.com 👉👉http://www.androidcreator.com/apk/app204631.apk

No comments:

Post Bottom Ad

Pages