Deal Done: Emanuel Okwi asaini kandarasi rasimi msimbazi. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Sunday, 25 June 2017

Deal Done: Emanuel Okwi asaini kandarasi rasimi msimbazi.


Mshambuliaji Mganda Emmanuel Okwi amekamilisha ndoto za wapenzi na mashabiki wa klabu ya Simba na pia akikamilisha matazamio ya mashabiki wa soka nchini kwa kuingia kandarasi na klabu ya simba kwa miaka miwili.

Okwi amesaini mkataba huo wa kuitumikia simba kwa miaka miwili baada ya tetesi za mda mrefu juu ya ujio wake.
Ujio wa Okwi Msimbazi utawaongezea matumaini ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu msimu ujao pamoja na kufanya vyema katika mashindano ya kimataifa ambapo Simba watawakilisha Tanzania katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Mataifa ya Afrika. 
2010-2013
Okwi ambaye aliwahi kuichezea Simba msimu wa mwakao2010-13 kabla ya kuhamia nchini Denmark na hatimaye Villa SC ambapo alifanikiwa kuwafungia mabao 10 yote akiyapachika mzunguko wa pili wa Ligi kuu nchini Uganda
 Wachezaji Wengine wamesajiliwa na Simba ni pamoja na Aishi Manula, John Bocco na Shomari Kapombe huku wakiendelea kuwinda saini ya Mshambuliaji Walter Bwalya ambaye anakabiliwa na Utata wa Urais.

Tazama hapa namna alivyo saini mkataba huo..Download app hii moja kwa moja kwenye kifaa chochote cha Android ili kupata habari kutoka vyankende.com 👉👉http://www.androidcreator.com/apk/app204631.apk

No comments:

Post Bottom Ad

Pages