Chile yaiadhibu Ureno yatinga fainali ya Confederation Cup - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Thursday, 29 June 2017

Chile yaiadhibu Ureno yatinga fainali ya Confederation Cup

Usipitwe na breaking news mbalimbaliza michezo pamoja na tetesi zote za usajili,like page yetu ya facebook 👉👉 HAPAMlinda mlango wa Manchester City Claudio Bravo alikua shujaa wakati timu yake ya Chile ilipoiondosha Ureno katika hatua ya nusu fainali na kutinga fainali.
Chile imefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya kombe la mabara baada ya kuondosha Ureno kwa penalti 3-0.
Bravo aliokoa mikwaju ya penalti iliyopigwa na Ricardo Quaresma, Joao Moutinho na Nani huku Chile wakifanikiwa kupata penalti tatu.


 Download app hii moja kwa moja kwenye kifaa chochote cha Android ili kupata habari kutoka vyankende.com 👉👉HAPA

No comments:

Post Bottom Ad

Pages