BOCCO RASIMI MSIMBAZI. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Tuesday, 13 June 2017

BOCCO RASIMI MSIMBAZI.


Mshambuliaji wa zamani wa Azam John Bocco amesaini mkataba na klabu ya Simba ili kuitumikia klabu hiyo kwa miaka miwili ijiayo.

 Bocco ambae amewika na klabu ya Azam amesaini mkataba huo huku ikiwa ni siku kadhaa baada ya yeye kuhusishwa na kujiunga na klabu hiyo.Wengine waliohusishwa ni golikipa wa Azam  Aishi Manura.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages