BEKI WA SINGIDA UNITED ATEMWA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA,OKWI NA JUUKO MAMBO SAFI.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Thursday, 1 June 2017

BEKI WA SINGIDA UNITED ATEMWA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA,OKWI NA JUUKO MAMBO SAFI..


Beki mpya wa Singida United, Shaffiq Batambuze aliyesajiliwa kutoka Tusker ya Kenya ameachwa katika kikosi kinachoondoka leo.
kikosi hicho cha wachezaji 18 kinajiandaa na mechi tatu dhidi ya Ethiopia siku ya Jummosi, Senegal na Cape Verde.
Uganda ipo kundi moja na Tanzania katika michuano ya Kuwania kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika nchini Cameroon.Hata hivyo kikosi kimejumuisha wacheza nyota akiwemo beki wa Simba Juuko Murshid na nyota wa zamani wa Simba Emmanuel Okwi.
.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages