BAADA YA SINGIDA UNITED KUTUPWA NJE LEO WATANZANIA WENGINE KUTUPA KARATA YAO.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Tuesday, 6 June 2017

BAADA YA SINGIDA UNITED KUTUPWA NJE LEO WATANZANIA WENGINE KUTUPA KARATA YAO..
Baada ya kumalizika kwa michezo ya ufunguzi ya Sportpesa Super Cup na kushudia timu moja kutoka Tanzania ikiaga mashindano na timu Moja kutoka Kenya nayo ikiaga mashindano .

Katika michezo ya leo tutashuhudia vijana wa Jang'ombe Boys  ya mjini Zanzibar wakishuka dimbani kumenyana na Gor Mahia kutokea nchini Kenya mchezo utakao chezwa mida ya saa 8 mchana wa leo.

Huku mchezo mwingine ukitarajiwa kuanza kutimua vumbi mishale ya Saa 10 kucheza na Nakuru All Stars  kuiva klabu ya Simba kutokea Tanzania.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages