SIMBA YAINYAKUA TONGE SINGIDA UNITED BEKI MBAO FC - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Thursday, 1 June 2017

SIMBA YAINYAKUA TONGE SINGIDA UNITED BEKI MBAO FCBaada ya kuikataa ofa ya Singida United, beki wa Mbao FC Asante Kwasi, ameripotiwa kufikia mkubariano na klabu ya smba ili kusaini kandarasi ya kuitumikia klabu hiyo.

Beki huyo kisiki wa Mbao FC bado haijawekwa wazi kua atasaini mkata wa mda gani licha ya kua tayari amewrkwa katika mipango ya kumsaidida mganda Juuko Murshid.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages