AZAM YAZIDI KUSUKUMA MAUMIVI KWA VIGOGO WA LIGI KUU TANZANIA. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Saturday, 10 June 2017

AZAM YAZIDI KUSUKUMA MAUMIVI KWA VIGOGO WA LIGI KUU TANZANIA.


Klabu ya Azam imezidi kuviacha midomo wazi  vigogo vya ligi kuu Tanzania bara baada ya kuzidi kunyakua wachezaji ambao vilabu hivyo vimekua vikitarajia kuwasajili msimu huu.

Katika vyombo mbalimbali vya habari imeripotiwa kua tayari Azam imemsainisha kandarasi ya miaka miwili mshambuliaji wa Kagera Sugar Mbaraka Yusuf  huku ikiziacha simba na Yanga zikizidi kujitamba kwenye magazeti.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages