AUBAMEYANG AKUBALIANA NA PSG - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Saturday, 10 June 2017

AUBAMEYANG AKUBALIANA NA PSGPierre-Emerick Aubameyang amekubaliana maslahi binafsi na  Paris Saint-Germain juu ya uhamisho wa majira ya kiangazi kwa mujibu wa taarifa kutoka SportBild.

Na wakati huo huo Dortmund wameripotiwa kuanza kutafuta mrithi wa mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Gabon.

Mmoja wa washambuliaji hao ni Muargentina Lucas Alario,ambaye amefunga magoli 13 akiwa na River Plate msimu huu.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages