Header Ads

ARSRNAL YAMSAINISHA KANDARASI YA BRKI MPYAWiki kadhaa baada ya klabu ya Arsenal kutangaza kumuongezea mkataba kocha wake mkuu mzee Arsene Wenger leo hii klabu hiyo imetangaza kumsajili beki wa kushoto Sead Kolasinac kutoka Schalke kwa mkataba wa miaka mitano.

No comments:

Powered by Blogger.