Header Ads

ARSENAL YAMALIZANA NA HUYU KUTOKA BARCELONA


Klabu ya Arsenal imefikia makubariano na nyota wa Barcelona Arda Turan ili kujiunga na klabu hiyo.


Kwa mujibu wa chanzo cha habari klabu hizo mbili zimefikia makubariano licha ya kua hakuna taarifa official juu uhamisho huo.

Sources: 90min.com BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI..

No comments:

Powered by Blogger.