USAJILI YANGA: IJUE HAPA SABABU YA AJIBU KUJIUNGA YANGA.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Thursday, 15 June 2017

USAJILI YANGA: IJUE HAPA SABABU YA AJIBU KUJIUNGA YANGA..Yanga imemalizana na mshambuliaji Ibrahim Ajibu Migomba.

Ajibu amejiunga Yanga kwa mkataba wa miaka miwili.

Taarifa kutoka Yanga zinaeleza Ajibu amemalizana na Yanga mchana huu baada ya kuwa wamefanya mazungumzo mfululizo tokea juzi.

"Tulikuwa hatujamalizana katika masuala fulani ya fedha, lakini sasa naona mambo yamekamilika"

Hata hivyo Ajibu amesaini mkata wa miaka miwili kwa kitita cha millioni 50, pamoja na gari....

No comments:

Post Bottom Ad

Pages