YANGA KUPIMANA NGUVU NA ARUSHA FC - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Thursday, 25 May 2017

YANGA KUPIMANA NGUVU NA ARUSHA FC
Jumapili hii katika uwanja wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha , mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara watapimana nguvu na wakongwe wa ligi kuu miaka hiyo AFC FC ya jijini Arusha katika mwendelezo wa kutoa burudani na shukrani kwa wapenzi wa timu hiyo mikoani. 
Kabla ya mchezo huo , Yanga SC wanaowasili jijini Arusha kesho kutokea mkoani Dodoma , siku ya jumamosi watalitembeza kombe la ligi jijini Arusha na kutoa fursa kwa wapenzi wa klabu hiyo jijini humo kuliona kombe hilo pia kukiona kikosi cha wana jangwani hao . 
Nyote mnakaribishwa .

No comments:

Post Bottom Ad

Pages