WENGER KUENDELEA ARSENAL MIAKA MIWILI ZAIDI - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Monday, 29 May 2017

WENGER KUENDELEA ARSENAL MIAKA MIWILI ZAIDI


Meneja wa klabu ya Arsenal ambae amedumu kwa mda mrefu katika klabu hiyo inaaminika kua huenda akaendelea kukitumikia kikosi hicho kwa kipindi cha miaka miwili zaidi baada ya juzi kutwaa ubingwa wa FA huko nchini England

Kwa mujibu wa gazeti la Mirror linaamini kuwa, Arsene Wenger atasaini mkataba mpya katika klabu ya Arsenal, baada ya kumalizika kwa fainali ya Kombe la FA. Mfaransa huyu atapewa mkataba wa miaka miwili pamoja na fungu kubwa la usajili kwa ajili ya kukiimarisha upya kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages