WENGER AKUTANA NA MMILIKI WA KLABU YA ARSENAL KUTETA JUU YA NYONGEZA YA MKATABA.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Tuesday, 30 May 2017

WENGER AKUTANA NA MMILIKI WA KLABU YA ARSENAL KUTETA JUU YA NYONGEZA YA MKATABA..Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amefanya mkutano muhimu na mmliki wa klabu hiyo Stan Kroenke Jumatatu ambapo mustakabali wa mfaransa huyo ulitarajiwa kujadiliwa. Matokeo ya mkutano huo bado hayajawekwa wazi, lakini maamuzi yanabaki baina ya Wenger na Kroenke na yatategemea pia kikao cha bodi kitakachojadili suala hilo leo hii. Bado haijajulikana kama Wenger ataongeza mkataba baada ya kudumu katika klabu hiyo kwa miaka 21. Masharti ya mkataba mpya yalikubaliwa miezi kadhaa iliyopita, lakini hakuna kilichofanyiwa kazi mpaka hivi sasa. 

No comments:

Post Bottom Ad

Pages