Header Ads

VIDEO: MAGOLI YA BUNGE FC VS AZAM MEDIA FC..

Katika kuelekea mchezo wa fainali ya Simba na Mbao fc ulitanguli mchezo wa kirafiki kati ya Bunge FC dhidi ya Azam Media FC na hatimae klabu ya Bunge FC ikifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-1 hiyo hapo juu ni video ya Magoli yote ya mchezo huo.

No comments:

Powered by Blogger.