USAJILI SINGIDA UNITED: ATUPELE ASAINI KANDARASI.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Tuesday, 30 May 2017

USAJILI SINGIDA UNITED: ATUPELE ASAINI KANDARASI..


Klabu ya Singida United baada ya kutisha katika usajili msimu huu na kuweka bayana kuhusu kuendelea kwa ma,ungumzo na baadhi ya wachezaji,hatimae imeweka bayana kuhusiana na kuinasa saini ya mchezaji Atupele Green.

Singida United kupitia akaunti yake ya twitter imeweka bayana juu ya kumsainisha mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga Atupele Green kandarasi ya miaka miwili ili kuhakikisha inajiimarisha katika safu yake ya ushamburiaji.

Hii imejiri siku chache baada ya kumsainisha nyota wa Mbeya city Kenny Ally na saa chache baada ya kulipotiwa kuwepo na mazungumzo baina ya klabu hiyo na mchezaji huyo.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages