Header Ads

USAJILI SIMBA: WACHEZAJI 7 KUCHOMOKA SIMBA,WAFAHAMU HAPA..


Nyota saba kutoka katika klabu ya Simba wanadaiwa kuondoka katika msimu huu wa usajili katika maandalizi ya msimu ujao.

Na hii hapa ndio orodha ya nyota saba wanaodaiwa kuiaga Simba;

Jonas Mkude
Ajib
Manyika Peter
Abdi Banda
Method Mwanjali
Novatus Lufunga
Juuko Murshid
Hata hivyo bado haijawekwa wazi ni wapi wataelekea licha ya Ajib kutajwa kukamilisha mazungumzo na Singida united.

No comments:

Powered by Blogger.