USAJILI SIMBA: OKWI, KIPRE KUTUA MSIMBAZI.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Friday, 26 May 2017

USAJILI SIMBA: OKWI, KIPRE KUTUA MSIMBAZI..

Baada ya kumalizika kwa msimu wa ligi kuu Tanzania bara 2016/2017 tayari vilabu mbalimbali vimeanza kujiandaa na ujio wa msimu mpya wa ligi hiyo kwa msimu wa 2017/2018.

Katika kulifanikisha hilo tayari klabu mbalimbali zikiwemo zile zilizopanda daraja zimeanza kufanya usajili ,na kwingineko katika klabu ya simba tayari majina ya nyota wa kandanda ambao wamekua wakivuma Afrika wameanza kutajwa akiwemo nyota wake wa zamani Emmanuel Okwi.

Wengine katika orodha hiyo ukimuachilia mbali Okwi pia ametajwa nyota wa zamani wa Azam ' Kipre  Tchetche' na Mzambia ambae jina lake limewekwa kapuni.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages