USAJILI: AISHI MANULA AICHEUA SIMBA - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Friday, 26 May 2017

USAJILI: AISHI MANULA AICHEUA SIMBA

Baada ya kuwepo kwa tetesi za mlinda mlango wa klabu ya Azam FC Aishi Manula kujiunga na wekundu wa msimbazi Simba Sc hatimae ameweka bayana ukweli.

Manula kupitia akaunti yake ya Instagram amesema"Nimekua nikipigiwa simu mara kwa mara na kutumiwa sms mara kwa mara kua nimesaini Simba,napenda kuwatoa hofu mashabiki wa Azam kuwa mm sijasain mkataba na Simba na siwezi saini na timu yoyote kwani mkataba wangu na Azam unaendelea hadi mwezi wa 7".
Manula ameendelea kwa kusema kua yupo kwenye mazungumzo na uongozi wa klabu yake kwa ajilo ya kuongeza mkataba.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages